HUDDAH HATAKI KABISA KUSIKIA SWALA LA MAPENZI...... - BZONE

HUDDAH HATAKI KABISA KUSIKIA SWALA LA MAPENZI......

Share This
Staa anaechukuaga nafasi kubwa kwenye mitandao ya kijamii kutoka nchini Kenya Huddah The Bosschick amedai akisumbuliwa sana kwenye mtandao wa Snapchat wakati ambao amekuwa kwenye dart ya ngono.

 
Huddah amefunguka kwamba hajafanya ngono wala kukutana na mwanaume yeyote kwa miezi mitatu na hana mpango wa kukutana na mwanaume yeyote kwa mda wa miezi sita.



Kupitia Snapchat yake Huddaah ameandika "There some Hawt Niggas on Snap yo! and am on a No Niggas Diet right now no sex for six Months im trying to beat this challenge i'm on 3 month....who"

No comments:

Post a Comment

Pages