
Mfaransa huyu ambae amekuwa moyo wa Zineddine Zidane kwenye upande wa ulinzi msimu huu huku wa kitaka kumuweka mpaka pale watakapo hakikisha wanachukua ubingwa wa klabu bingwa Ulaya.
Amecheza dakika zote 90 kwenye michezo yote ya La liga ukiachilia mbali ule wa PSG. Kwa shughuli alioionesha imefanya kocha wake alieweza kumchukuaga kipindi cha nyuma Jose Mourinho ambae alimsajili mwaka wa 2011.
Pale alipoulizwa na mwandishi wa kireno El Larguero kama amefanya mawasiliano yoyote juu ya uhamisho Varane alijibu 'hapana, sio moja kwa moj. kulikuwa hakuna mawasiliano yoyote.'
'Nijasikia huru sana pale napokuwa na wachezaji ambao wanakasi' alisema. 'Kwa kiwango changu nisinge kataaa kwenda, kama watakuwa na nguvu sitoacha kwenda wala kucheza. Kama Lukaku kwa mfano, Ni mshambuliaji ambae ananguvu Duniani. Unatakiwa ucheze kwa utofauti sana.' Alisema Varane.
No comments:
Post a Comment