
Kijana huyu mwenye umri wa miaka 20 alipelekwa Uhispania kwenye dirisha kubwa la usajili kwa ada ya pauni milioni 96 akitokea Borussia Dortmund na haraka ilikuweza kuziba pengo la Neymar na kuvaa viatu vya Neymar ambae alietimukia Ufaransa kwa kuvunja rekodi ya Dunia.
Dembele aliwasili akitokea kwenye ligi ya Bundesliga ambapo alifanya vizuri lakini kwasasa anapigana ili kuweza kuonesha na kuleta cheche zake alizokuwa anazo kule Ujerumani kwenye klabu yake ya mpya baada ya kupata majeraha yaliomuweka nje kwa miezi mitatu.
Mbali na hiyo pole pole lakini Winga wa Kifaransa anaanza kutafuta mguu wake na ameshaanza kurudisha cheche zake baada ya kuwasha mkwaju wenye ustadi kwenye klabu bingwa Ulaya dhidi ya Chelsea na akitoa assist mwishoni mwa wiki.
Mchezaji wa zamani wa Barca Xavi anaamini Dembele kurudi kwenye kiwango chake anatakiwa kukuza ujasiri wake lakini amekuwa akibishana na kijana huyo kwamba bado kuna mda mzuri mwingi tu wa kujifunza kama anataka kufanikiwa kwenye klabu.
'Ata takiwa kujifunza jinsi ya kufikria haraka, kwenye sekundu chache.' Xavi ambae ameshinda mataji 24 akiwa na Barcelona kwa miaka 17 amesema hayo.
Aliendelea; 'Hapa ndipo tutamuona kama ana akili. Lazima ajiambie mwenyewe: "Mimi ni mchezaji wa Barcelona." Lazima kifikra uwe na nguvu ili uwe na unajua hatia.
'Kuna wachezaji wenye viwango ambao wametumikia Barcelona kwa miaka zaidi ya 15 kwasababu walikuwa na ukurasa pamoja na muoenekano tofauti na kuna bado wachezaji wazuri ambao hawakufanya kitu kwasababu hawakuweza kumiliki mikiki.
Mbali na kuonesha kiwango kizuri kwenye mashindano ya Ulaya dhidi ya Chelsea Xavi alisisitiza atua hii itachukua mda kidogo pale utakapo pita mchuji wa Barcelona juu ya nani anafaa nani afai.

'Dembele anakipaji, ana mbio lakini atokwenda kupata nafasi aliokuwa nayo Dortmund na Rennes.'
No comments:
Post a Comment