

Mrembo huyo ambaye anatuhumiwa kwa kesi ya utumiaji wa madawa ya kulevya, imeahirishwa kutokana na wakili wake Ruben Simwanza kudai mteja wake huyo amelazwa katika hospitali moja hapa jijini Dar es salaam.

Hakimu ambaye anasikiliza kesi hiyo, Willbard Mashauri ametaja tarehe nyingine itakayoendelea kesi hiyo ambayo ni April 4 ya mwaka huu
No comments:
Post a Comment