BAADA YA KUVUNJIKA KWA KUNDI LA FIFTH HARMONY KWA SAM SMITH IMEKUWA KAMA KITUKO.. - BZONE

BAADA YA KUVUNJIKA KWA KUNDI LA FIFTH HARMONY KWA SAM SMITH IMEKUWA KAMA KITUKO..

Share This
Mwanamziki mwenye umri taklibani miaka 25 awezi kujizuia juu ya kikundi cha wanawake kilicho vunja moyo wake kupitia Twitter Sam alionesha kama kupatawa na mshtuko mzito sana.



Pale alipo sikia tuu habari kuvunjika kwa kikundi hiko alienda kuonesha hisia zake kwenye mtandao wa kijamii na kuandika FIFTH HARMONY!!!!! NO !!!!!!!



 Wapenzi wa kikundi hiki hawakuwa nyuma nao pia kuonesha jinsi walivyoguswa na kuyayushwaa baada ya kufa kwa kundi hilo ambapo mmoja wao alisema; NINA UZUNI SANA HASA NIKIANZA KUSIKILIZA ALBUM ZAO NA KUJIKUTA NALIA.



Na mwengine akaongezea; 'waokoe, warudisheni jamani.'



Lauren Jauregui 21, Ally Brooke 24, Dinah Jane 20 na Normani Kordei 21 wote walitangaza habari hii ya uzuni na kusema hawapo pamoja kwasasa na watakua wakifanya kazi kama Solo Artists.



Walitioa taarifa hii kwa kuelezea  kwa mashabiki wao 'Tukimulika miaka sita iliopita tangia tulipoanza tumegundua kwamba ni vipi mbali tumetoka na tunashukuru kwa kila kitu sio leo tuu na siku zote'

'Tumekuwa na safari yenye kumbu kumbu nyingi sana na ya kutosaulika na atuwezi kuelezea jinsi na nyinyi mlivokuwa mkituunga mkono.'
"Tunataka kupata mda kidogo kwa sasa tunavunja kikundi cha Fifth Harmony ili  kujingiza kwenye hatua ya kuwa mtu mmoja mmoja kama Solo.

No comments:

Post a Comment

Pages