Migos - Walk It Talk It ft. Drake - BZONE

Migos - Walk It Talk It ft. Drake

Share This
Kundi la muziki kutoka Marekani, Migos wameachia video ya ngoma yao mpya iitwayo ‘Walk It Talk It’ aliyoshirikishwa rapper Drake. Ngoma hiyo inapatikana katika albamu yao ya Culture II

No comments:

Post a Comment

Pages