Imekuwa ni maumivu kwenye siku kadhaa.

Ushindi dhidi ya Brighton ilifanya kidogo kurudisha tabasamu kwenye uso wa Mourinho japo akiendelea kwamba wachezaji wake wanakosa kuwa wao kama wao, upungufu wa kiwango na kujitoa kwajili ya timu.

Luke Shaw ni mchezaji ambae ametimiza mika minne sasa tangu ajiunge na maisha ya soka ndani ya united na inaonekana huu ndio utaenda kuwa msimu wake wa mwisho baada ya Jose Mourinho kumuwekea kitanzi cha kutoendelea kwenye kipindi cha pili kwenye mchezo wa kombe la FA ambao walicheza na Brighton.

Shaw ni moja kati ya wachezaji ambao wanawajumuisha Daley Blind, MatteoDarmian na Maroune Fellaini ambao wanajiandaa kuondoka mwishoni mwa msimu huu pamoja na Veterani wa klabu hiyoo Michael Carrick na Zlatan Ibrahimovi.
Mourinho ambae alinukuliwa akisema atakuwa kikao na Ed Woodward juu ya Ander Herrera, Anthony Martial, Juan Mata na Chris Smalling juu ya kuondolewa OT.
Baada ya Jose kumwagia sifa kibao kiungo wake wa Kiserbia Matic, Matic huku Matic binafsi akisema "mimi ninafacha kile kilicho bora na nina furaha kufanya nae kazi, Nina furaha kuwa nioja ya sehemu kwenye timu na nina muheshimu na ninacho kifanya sio uwanjani tuu hadi kwenye mazoezi."

Mourinho amekubali anacheza kwa tahadhari sana akiwa na mikakati mikubwa sana kwa kuwapa changamoto wachezaji wake lakini hii ni kama kamali.
Sio kila mmoja atakubali ni sela ambayo ni nzuri kwa kila kocha ambae anakaa vizuri na wachezaji wake na anae taka kupata mafanikiohuku kocha wa Brighton akinukuliwa akisema na tatizo lolote kwa kile anachokiona kwa Mourinho na kusema Jose anajua nini anacho kifanya.
No comments:
Post a Comment