

Ronaldo alikuwa kwenye kiwango sio cha kawaida na kuifanya Madridi kutamgukia ndani ya dakika ya 11 tu kabla ya Cristhian Stuani kurudisha goli iloo kwa kombola la kichwa.

Mshambuliaji wa Kireno alirudisha Madrid tena kwenye uongozi baada ya kuvunja wigo kwa juhudi nzuri ya Lucas Vazquez na kupata bao la tatu pia.


Gareth na Ronaldo waliendele kuongeza magoli memngine kadhaa kwa Real Madrid. Ronaldo alikamilisha hat-trick 50 kwenye maisha ya soka kwenye klabu na ngazi ya taifa na kufikisha kwa jana kwenye ligi magoli 22 akiwa anamnyemelea Messi akiwa nyuma kwa magoli manne.
Kwa matokeo haya inaonekana Madrid walipanga kulipiza kisasi kwa Madrid baada ya kusumbuliwa bwakiwa ugenini huku Girona akiwa nyumbani Septemba 29. Na kwa namna hii Real Madrid wametoa tahadhari kwa Juventus.
No comments:
Post a Comment