MANCHESTER UNITED IMEJIKUTA INAINGIA KWENYE USHINDANI KUTOKA CHELSEA KWAJILI YA KUMNASA BEKI WA BARCELONA SAMUEL UMTITI MSIMU UJAO. - BZONE

MANCHESTER UNITED IMEJIKUTA INAINGIA KWENYE USHINDANI KUTOKA CHELSEA KWAJILI YA KUMNASA BEKI WA BARCELONA SAMUEL UMTITI MSIMU UJAO.

Share This
Inasemekana kuwa klabu ya Manchester United inakuja kukutana na ushindani mkubwa kutoka kwa Chelsea kwajili ya kumnasa beki kutoka Barcelona Umtiti.


The 24-year-old French defender is only into his second season at the Nou Camp


Beki huyu wa Kifaransa yeye binafsi amethibitisha anataka kudondoka Old Trafford msimu ujao lakini United watapata wakati mgumu sana mpaka kumpata beki huyu kwanza ushindani kutoka kwa Chelsea na pia Barcelona kama watamruhusu Samuel kuondoka Nou Camp.

Manchester United are holding 'constant talks' with Barcelona defender Samuel Umtiti

Taarifa kutokea Hispania zina sema kuwa Chelsea wapoteyari kupigana kufa na kupona Jino kwa Jino Kucha kwa kucha mpaka wampate beki huyo wa kati.

No comments:

Post a Comment

Pages