JURGEN KLOPP LAZIMA AJIREKEBISHE KWENYE IMANI YAKE KAMA KAMA LIVERPOOL WATAENDA KUSHINDANA MSIMU UJAO KWAJILI YA KOMBE - BZONE

JURGEN KLOPP LAZIMA AJIREKEBISHE KWENYE IMANI YAKE KAMA KAMA LIVERPOOL WATAENDA KUSHINDANA MSIMU UJAO KWAJILI YA KOMBE

Share This
Majogoo walitua Old Trafford kwa kujiamini lakini wakajikuta ukuta wao ukajikuta ni dhaifu kwa kushambiliwa na vijana wa Jose Mourinho.

Pale Jurgen Klopp aliposoma na kujikuta anamtafakari Dejan Lovren kwa siku kadhaa na sio kwa tabasamu lile alilokuwa nalo.



"Nina furahia sana kucheza dhidi ya washambiliaji wakubwa sana duniani...[united] hawapo vibaya lakini walishinda kwa bahati..atukucheza kwa alama" 

Kama kulikuwa na faragha unaweza ukachukua kutoka kwenye sehemu na kazi maharumu, ni kwamba Klopp ata ayupo karibu kutengeneza ukuta ule unaotakiwa hii ni kama igizo kwa majogoo na kama kweli wanataka kupigania kombe msimu ujao. 

Na kuna nafasi ya kujikuta wanatoka kwenye klabu bingwa Ulaya.


Inaweza ikawa rahisi kulenga kile kichopo kwa Lovren.

Ni rahisi kuonesha kwamba alikuwa anamkimbia Romelu Lukaku kama chura anavoruka shimo.
Ni rahisi kusimama na kuonesha kwamba yeye alikuwa amesimama na kumuangalia tu Lukaku huku mshambuliaji wa Manchester United akitoa assist kwa Marcus Rashford na kupata goli la pili.
Ni rahisi sana kusema kile kichwa chake cha uokozi ndio kilimruhusu Lukaku kuweza kufanya mawasiliano ya kusogea na kumuona Rashford.



Lakini hiyo inaweza ikawa kuwaaangalia Liver wote kwenye safari yao waliyokuwa wakisafiri wakiwa na Trent Alexender Arnold.

Pamoja na Lovren yeye ndo alikuwa mgharimu mkubwa sana kwenye goli la kwanza. Ile ya Lukaku ilikuwa kama ile iliyo mtokea Eric Dier,  dhidi ya Spurs Dier alisimama pale Lukaku alipomuwekea mpira Martial na kuruhusu kufanya mbio na kumalizia
 

Kupata kipigo isiwe sababu ya kuanza kumuongelea Alexender Arnold ambae alionekana anamiaka 19 na akifanya kazi ya kuwatuliza vijana wa Jose Mourinho ambaye alikuwa akihudumiwa na Antonio Valencia na Ashley Young wakiwa na umri wa miaka 32.

Ila mkumbuke Virgil Van Dijk ambae alipiga vichwa kadhaa lango mwa  mashetani  na zile stadi za uokozi alizokuwa nazo lakini bado ilikuwa ngumu kwao, Mwengine naye aliekuwa akizungumziwa ni Loris Karius, ambae alitegewa kwenye nafasi yake na kujikuta anakula viwili vya haraka lakini alikuwa na kazi nyingine ya kufanya mbali na alikuwa analolote la kufanya lakini ukija kwa upande wa David De Gea alikuwa na mzigo mdogo tuu wa kufanya kwenye kazi yake japo ni vigumu kuwalaumu Liverpool kwamba awakustahili kupata chochote kwenye mchezo wa jana na hii ndio ilikuwa ni rahisi sana kwao japo walifungwa mawili kuliko ule mchezo wa kwanza ambao waliweza kutoka suluhu. 


Hii aikuwa nzuri kwao.



United walikuwa wamejipanga vizuri sana japo waliwapa goli moja la kujifunga kutoka kwa Eric Baily ambae alikuwa mwimba kwa Robert Firmino alikuwa beki bora kwangu mimi kwenye mchezo wa jana.

Baada ya magoli ya Rashford kulikuwa hakuna kingine cha kuangalia zaidi ya kuangalia basi la maonesho ambalo lilikuwa lilijikuta likiwa na makonda watatu Matic, Fellain na McTominay.

Sasa wanisike popote walipo kama wanataka kuchukua ubingwa msimu ujao inabidi wawemakini sana na wakae wakijua wenzao United kujiweka kwenye nafasi ya Nne bora sasa wapo kwenye nafasi nzuri ila Klopp inabidi ajue kwamba ana ukuta mbovu bado atujaona tofauti bado.

No comments:

Post a Comment

Pages