TIME FOR CHANGE TRUST ME, TUNDA AMUOMBA MSAMAHA AUNT EZEKIEL.... - BZONE

TIME FOR CHANGE TRUST ME, TUNDA AMUOMBA MSAMAHA AUNT EZEKIEL....

Share This

Video vixen Bongo, Tunda amemuomba msamaha Aunt Ezekiel kufuata ugomvi wao uliotokea siku za nyuma.


Chanzo cha ugomvi wao kilielezwa ni baada ya Tunda kwenda katika duka la Aunt na Iyobo na kuchukua pombe bila kulipwa, video vixen huyo alipokuja kuulizwa na Aunt kupitia mtandao ndipo ugomvi ukaanza hadi kufikia hatua ya kumtukana mtoto wa Aunt Ezekiel na Iyobo.

No comments:

Post a Comment

Pages