LUPITA NYONG'O KWENYE NYINGINE TENA HOLLYWOOD BAADA YA BLACK PANTHER - BZONE

LUPITA NYONG'O KWENYE NYINGINE TENA HOLLYWOOD BAADA YA BLACK PANTHER

Share This
Viola Davis na Lupita Nyong’o wametajwa kuigiza kwenye filamu mmoja ya kampuni ya TriStar Pictures iliyopewa jina The Woman King,
Kwa mujibu wa The Hollywood Reporter filamu hii itahusu mjii mkubwa uliowahi kuwepo Afrika wa Dahomey katika karne ya 18th na 19th.
Viola ataigiza kama jenerali jeshini na aliyepigana vita na mtoto wake wa kike (Nyong’o) dhidi ya wafaransa na makabila mengine kwenye eneo hilo.
Filamu imepewa jina “The Woman King inatarajiwa kuanza kurekodiwa mwaka huu.


No comments:

Post a Comment

Pages