DAVIDE ASTORI KAFA; KAFA MASAA MACHACHE KABLA YA MCHEZO, MICHEZO YA SERIE A YASOGEZWA MBELE. - BZONE

DAVIDE ASTORI KAFA; KAFA MASAA MACHACHE KABLA YA MCHEZO, MICHEZO YA SERIE A YASOGEZWA MBELE.

Share This
Fiorentina imetangaza kifo cha Nahodha wa timu iyo na raia wa Italyy Davide Astori akiwa na miaka 31.

Mchezaji huyo wa Kiitaliano akiwa na michezo 14 na jina lake alikutwa amekufa kwenye hoteli ya La di Moret mjini Udine alipokuwa anajiandaa kwajili ya kikao cha Viola mjini Udinese.

Baada ya kifo chake chama cha soka Italia kimesimamisha Michezo yote ya Serie A iliokuwa intakiwa kupigwa. Uongozi wa klabu umetoa tamko baada ya kifo chake na kusema

“Fiorentina tumeshtushwa sana na tukiwa na uzuni na machozi yakitutoka tunatangaza kuwa nahodha wetu David Astori amekufa.

“Kwa hali mbaya na isiyo julikana na yote hayo tunatoa pole na heshima zetu za dhati za pole kwa familia”

“Kijana wetu akuweza kutokea kwenye chai ya pamoja na timu 9:30 asubuhi na tulishangazwa kuto muona kwasababu yeye ndo huwa wa kwanza kutokea  siku zote”
“Kitu kilicho pelekea mpaka yeye kupatwa na umauti bado chanzo  akijajulikana. Hakimu ameshakuja hapa na mwili umepelejwa hospitalini kwajili ya uchunguzi na nina amini uchunguzi hadi kesho utakuwa umeshakamilika na hatuna details nyingine kwa sasa zaidi ya hizo.”

Astori alianza maisha yake ya Soka akiwa Ac Milan, na amekuwa kwenye Serie A kwa miaka 12.
Ametumia miaka sita akiwa na Cagliari wakiwa na michezo 174 na Sardinians. Mwaka 2014 alijiunga na Roma kwa mkopo kabla ya kwenda Fiorentina mwaka uliofuata.

Alikuwa nahodha wa wa La viola mwanzoni mwa msimu huu na ametumiza michezo 27 tangia kampeni ya msimu huu ilipoanza  na akishinda mara 1. Astori alikuwa na mazungumzo na klabu kuhusu mkataba wake mpya.

Kwenye michezo yake yote ya Serie A ameshinda magoli sita tuu pekeee. Alianza kucheza timu ya taifa Italia dhidi ya Ukraine Machi 2011.

Astori anamuacha nyuma mtoto wake mwenye miaka miwili  akijulikana kama Vittoria.
REST IN GOOD PEACE ASTORI.... !

No comments:

Post a Comment

Pages