HIZI NDIO TIMU TANO ZA RONALDO AMBAZO ZINAWEZA ZIKABEBA KOMBE LA DUNIA 2018 NA TATIZO KUBWA BRAZIL WALIOKUWA NALO. - BZONE

HIZI NDIO TIMU TANO ZA RONALDO AMBAZO ZINAWEZA ZIKABEBA KOMBE LA DUNIA 2018 NA TATIZO KUBWA BRAZIL WALIOKUWA NALO.

Share This
Gwiji kutokea Brazil Ronaldo ametaja timu zake tano ambazo anazofikilia zinaweza zikapata nafasi ya kushinda kombe la Dunia 2018 na cha kushangaza akuweza kuiweka Taifa lake.



Mchezaji huyo ambae amewahi kukipiga Real Madrid na Inter Milan akiwa kama mshambuliaji anajua nini kinatakiwa ili kuweza kuchukua kombe la Dunia ambapo yeye alifanya hivo mara mbili kwenye miaka ya 1994 na 2002.

Mshindi huyo wa mara mbili kwenye Ballon d'or pia akichukua kiatu cha dhahabu akiwa na magoli nane ya mwishonii kwenye shindano.



Germany ikiwa inaongoza ikifuatiwa na Brazil kwenye mashindano haya lakini alipo ulizwa kuhusu timu yake Ronaldo hakutaka kabisa kuipa promo timu yake.



"Naona Ujerumani siku zote wapo vizuri na nguvu za kutosha Hispania nao pia wako vizuri Uingereza, Ufaransa, Argentina ikiwa na Messi inakuwa ni timu ngumu zinazofanya ushindwe kulibeba kombe" alisema gwiji huyo wa Brazil.



"Lakini tutaona uzuri wa kombe la Dunia. Matumaini yangu Brazili itanyakua tena."

Labda sababu kwanini Ronaldo akuipa nguvu timu yake kwasababu ya majeruhi yanayo mkabili Neymar sasa hivi.

'Kwenye kombe la Dunia kila mtu anajua  kwamba ni kati ya mashindano ambayo ni magumu san.' aliongezea aliekuwa shujaa wa Real Madrid.



'Naona Brazili sasa hivi wamejirekebisha kati ya miaka kadhaa nyuma wakibadili kocha tuna timu na kikosi chenye nguvu na uwezo wa kuelekea kwenye kombe la Dunia.
"Neymar amepata majeruhi ni tatizo kubwa sana kwetu sisi lakini ninaona atapona tuu hivi karibuni na atakuwa shupo vizuri kabla ya kombe la Dunia.

No comments:

Post a Comment

Pages