'ALIKUWA KOSA LANGU MIMI KUONDOKA CHELSEA SISI WOTE TUNAJUA NINI KILITOKEA' DIEGO COSTA - BZONE

'ALIKUWA KOSA LANGU MIMI KUONDOKA CHELSEA SISI WOTE TUNAJUA NINI KILITOKEA' DIEGO COSTA

Share This
Diego Costa says he was not to blame for the dispute at Chelsea that cost him his Spain spotDiego Costa amesema yeye sio wa kulamumiwa pale alipo ondoka Chelsea. Mshambuliaji huyo aliweza kufunguka baada ya msimu uliopita kuonekana kama afanyi vizuri akiwa na kocha wa kitaliano Antonio Conte na kupoteza nafasi yake ndani ya kikosi icho.


The former Blues striker went AWOL last summer after a major row with Antonio Conte (right)

Alisema: ‘Iko wazi kabisa alikuwa kosa langu et nilikuwa nipo Brazil, wote tunajua nini kilitokea pale lakini nimerudi kwasasa na ninataka kufanya zaidi.’



Costa amekuwa akichuana na Alvaro Morata sio leo tuu tangia mwanzo kwenye kikosi cha Uhispania  na huku mipango ya Julen Lopetegui ikiwa inamtaka Diego Costa.




Costa alifunguka na kusema ‘Nimemkumbuka sana Morata kwasababu tunaelewana sana mashindano siku zote ni mazuri. Morata amekuwa na mda mbayaa kwenye timu yake japo kwasasa amerudi na anashinda kwa sasa na nina amini atakuja kujiunga na sisi hivi karibuni.’Atletico Madrid forward Antoine Griezmann has been linked with a move to Barcelona

Costa aliulizwa juu ya mchezaji mwenzak wa Atletico Madrid kama kuna uwezakano wa kujiunga na Barcelona msimu ujao Costa akaongezea ‘Griezman bado yupo na sisi na nina  amini kwamba atakabaki.


No comments:

Post a Comment

Pages