G-Eazy - Sober (Official Video) ft. Charlie Puth - BZONE

G-Eazy - Sober (Official Video) ft. Charlie Puth

Share This
Rapper G-Eazy ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Sober ’  akimshirikisha Charlie Puth. Ngoma hii pia inapatikana katika albamu yake ya The Beautiful & Damned

No comments:

Post a Comment

Pages