

Lakini kushindwa kwao kumeonesha ishara mbaya kwa Conte pale Stamford Bridge baada ya Chelsea kutolewa kwenye mashinda ya Ulaya.
Klabu Bingwa Ulaya ilikuwa na ufanisi mkubwa kwa Conte na hiyo ishapita tena, Chelsea wamekuja kujikuta wapo kwenye njia fupi kwasasa hakuna safari nyingi za kutembea msimu huu na huku wakifanya makosa ambayo yanaweza kuuwa utaratibu na mikakati yake

Lile funzo alilopata msimu uliopita alipochukua ubingwa imekuja kuchukuliwa na kushukua kwa kiwango ambacho kimewafanya kufikia hatua mpaka hii hasa pale unapokutana na Lionel Messi.

Au labda alikuwa Andreas Christensen aliteleza aliporudisha ile pasi nyuma, Thibaut Courtois kupigwa goli pembeni ya nguzo yake au Cesc Fabregas anapo poteza yote ni makosa ambayo hawakufanya msimu uliopita.

Yale makosa yaliangamiza kiwango chao ambacho kipindi hicho walichofanya mambo yakawa mazuri . Marcos Alonso aligongesha mwamba, N'Golo kante alikuwa anakaribia, Eden Hazard na Willian walikuwa waliwasumbua kimtindo Barcelona. Lakini walikuwa washachelewa.
4-4-2
| Barcelona | 3 | - | 0 | Chelsea |
5-4-1
|
HT 2-0 | ||||||
Champions League14-03-2018
|
Hivi unadhani walikuwa wanakumbushwa na mda kwamba vilabu vya uingereza bado havijafkia hatua ya kuweza kuvishinda vilabu kutoka Uhispania.
Mchezo unaokuja kwenye siku zijazo au wiki zijazo ndio utatufanya tumjue kocha mpya wa Chelsea.
No comments:
Post a Comment