'WANANITAKA LAKINI MIMI SITAKI'-ARTURO VIDAL - BZONE

'WANANITAKA LAKINI MIMI SITAKI'-ARTURO VIDAL

Share This
vidal amebakiza miezi 18 kwenye mkataba wake na mabingwa wa Bundesliga.

Arturo Vidal ameendelea kusisitiza kuwa bado anataka kuendelea kuitumikia Bayern Munich huku vilabu tofauti vikiendelea kumnyooshea vidole kama vilabu vya Manchester United na Chelsea.

Mashetani wekundu na maadui zao Chelsea wote kwa pamoja inasemekana  wanamnyatia mchezaji wa kimataifa kutokea chile.

Vidal ana miezi 18 mkononi na klabu yake inayokipiga kwenye ligi ya Bundesliga na mkataba wake 
umefanya vilabu tofauti kupiga ving'ora kwa kiungob huyo. Mbali na hiyoo mchezaji huyo wa zamani alietumikia Juventus anamatumaini makubwa ya kuongeza mkataba kuendelea kubakia kwenye dimba la Allianz Arena.

Aliweza kuwaambia sport1 "sifikilii kabisa maswala ya uhamisho nina jisikia nipo huru sana, ndio ningependa kuongeza mkataba. Ilo chaguo, watoto wangu watakuwa na furaha sana kama wakibakia hapa,"

Vidal ameweza kushinda magoli sita kwenye michezo 18 ya ligi akiwa na Bayern msimu huu.

No comments:

Post a Comment

Pages