Majeraha haya yanoyo mkabili mara kwa mara yametokea kwa kusababishwa na misuli ya paja baada ya kudondoshwa chini na beki mmoja wapo wa Chelsea.
Lakini baada ya Mechi kocha wake Alan Pardew alitoa wasi wasi kwa mashabiki kwa kusema kwamba majeraha hayo ni yapo makini kweli lakini na akasititiza kuwa atochukua mda kurydi uwanjani
Sturridge alijiunga na Baggies kwa mkopo wa mda mfupi akitokea Anfield akiwa anajitazamia yemwenyewe aweze kurudi kwenye kikosi cha uingereza ambacho kitashiriki michuano ya kombe la Dunia lakini kwasasa wazi tunaona na atujui ni mda gani atachukua kuweza kurudi uwanjani baada ya kupata tena majeruhi.
No comments:
Post a Comment