EBU JARIBU KUMSAHAU KIDOGO KANE,MESSI NA RONALDO HAKUNA ATAKAE KUJA KUWA MCHEZAJI BORA ULAYA KAMA CHRISTIAN ERIKSEN KWA MDA. - BZONE

EBU JARIBU KUMSAHAU KIDOGO KANE,MESSI NA RONALDO HAKUNA ATAKAE KUJA KUWA MCHEZAJI BORA ULAYA KAMA CHRISTIAN ERIKSEN KWA MDA.

Share This
Na Bwherever,

Haki ya Mungu Eriksen amekuwa mwokozi kwa Tottenham, kuvuma uwanja mzima, siku zote amekuwa akiwepo na siku zote anatengenezaga nafasi kwajili yake mwenyewe kwajili ya kupata mpira.......

Kusema ukweli wote inabidi  tuwe na majibizano kuhusiana na mchezaji mwengine wa Spurs 
.
Juventus walikuwa kwenye wakati mgumu sana hasa Giorgio Chiellin alipomuweka Harry Kane kwenye hatua sawa aliokuwepo yeye akimchukulia kama Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Neymar.

Kwahiyoo nani kwenye Sayari hii anatakiwa kufananishwa na Christian Eriksen? Nina uhakika hakuna na kama wapo basi sio wengi kama tunavo zania kwenye bara la Ulaya kwasasa.

Eriksen amekuwa ni mtu mwenye mauzauza akiwa na Spurs, alikuwa ni zaidi ya mchezaji yeyote kwenye kikosi cha Tottenham ambae alimchukua na kumfanya Mauricio Pochettino na timu yake kurudi wakitokea chuma kwa vyuma viwili bila vilainisho na kuwarudisha mchezoni.

"walikuwa ni wazuri sana kushinda ata sisi!" Ayo ni maneno yalioweza kusikika kutokea kwa mashabiki wa Arsenal ambao walioweza kuona kiwango cha majirani zao kwenye michezo ya klabu bingwa Ulaya 

Mpira wake alioupiga ndani ya dakika ya 72 ambao ulikuwa mpira ulio kufa uliweza kuwafanya Spurs kupata sare ilio tamu kwenye viwanja nguli Ulaya 

Alijihusisha na kichwa alichopiga kane japo alikosa.

Eriksen ni mchezaji ambae yupo juu ya mchezo wowote anaocheza anaongozaga michezo na kutia molari mbali na Kevin De Bruyne anachokifanya kwa man city.Tottenham striker Harry Kane celebrates after recovering from an earlier miss to score a vital away goal against Juventus

Kila mtu anakubali umuhimu wa De Bruyne ambae yupo city na wanafikilia Kane kama mchezaji muhimu kwa Tottenham.
Christian Eriksen scored Tottenham's second goal with an expertly-taken free-kick from 20-yards out in the second half
Lakini ki ukweli kwanba Eriksen uhusiano wake na kuelewana na Kane ni muendeshaji  mzuri wa Tottenham. Eriksen anauwezo mkubwa sana akiwa uwanjani  Juventus ata awakumuangalia kwa umakini na hii ndio kilichofanya yeye kuweka sawa kiwango chake ambacho alikionesha kwamba yeye ni bora Ulaya.Gonzalo Higuain volleys a pass from Miralem Pjanic and finds the bottom corner of Tottenham's net after just two mintues

Baada ya dakika nane tuu Spurs waliweza kupotea kwa magoli 2-0 magoli yakiwekwa kimiyani na Gonzalo Higuan lakini Eriksen aliweza kusaidia timu yake na kuyarudisha yote kwa kiwango ambacho akikiweza kuonwa na watu milioni Duniani.


No comments:

Post a Comment

Pages