Batshuayi aliwapa mbili zawadi ya mbili Dortmund kwenye mchezo wake wa kwanza kwenye mashindano ya Ulaya msimu huu akiwa na Dortmund.
Dortmund awajawahi kushinda michezo tisa ya nyuma na wamejiuga na Europa baada ya kumaliza nafasi ya taty kwenye kundi lao.
kutangulia mbele kwa goli moja lakini furaha yao ikakatika baada ya Josep Ilicic kwa kuweka bakola lilotokea pembeni na kuwabariki waitaliano kuwa sawa haikuchukua mda Ilicic aliweza kuwaandikia goli la pili lakini ndani ya dakika kadhaa Batshuayi aliweza kuweka mambo sawa ndani ya dakika mbili za majeruhi aliweza kupata goli ambalo liliwaweka mbele Wajerumani kuweza kuregeza tai................!!!!!
No comments:
Post a Comment