KAMA NIKIONDOKA MANCHESTER UNITED LAZIMA NIENDE....! LUKAKU ATAJA KLABU ATAKAYOENDA BAADA YA MANCHESTER UNITED - BZONE

KAMA NIKIONDOKA MANCHESTER UNITED LAZIMA NIENDE....! LUKAKU ATAJA KLABU ATAKAYOENDA BAADA YA MANCHESTER UNITED

Share This
Mbelgiji huyu tayar ameshafumbua jicho lake juu ya maisha yake ya soka mbelen japo na uhamisho wake haujakaa masikioni bado.

Romelu Lukaku ametaja timu ambayo ataweza kumwaga wino baada ya Manchester United na ametaja mipango yake ya kurudi Ubelgiji.

Mshambuliaji huyo wa Mashetani wekundu alijiunga na klabu akitokea Everton kwa ada ya Pauni milioni 75 msimu uliopita na teyari mpaka sasa amefunga magoli 12 kwenye ligi kuu uingereza msimu huu.

Lukaku amesema anawezaa akarudi kwenye klabu yake ya utotoni ya Anderlecht ambapo aliachaga historia ya kung'oa  meno.

Lukaku alitumia misimu miwili kuchezea miamba hiyo ya Ubelgiji ambapo aliweza kuchukuliwa na jicho la Chelsea lilooo muona wakati huo kocha alikuwa Andre Villa Boasambae aliweza kumsainisha mwaka 201.


No comments:

Post a Comment

Pages