Jezi ya nyumnbani ina kijani mpauko ikiwa na zig zag nyeupe zikipita kutokea kushoto kwenda kulia.
Na jezi ya ugenini kwajili ya Russia kwenye kombe la dunia ni ya kueleweka sana ikiwa na ukumbusho ya kwamba hii ni Nigeria sasa ambayo inaukijani wa kukolea kuanzia juu mpaka chini.
Jezi hizi zimetengenezwa na Nike na wenyewe Nike wanasema walivopokea order wametaka kuleta hisia kwa wachezaji na mashabiki pale watakapo ivaa jezi hii.
Jezi zimeweza kuzinduliwa na wachezaji kutokea ligi kuu ya uingereza wakiwemo Wilfried Ndidi,Alex Iwobi na Kelechi Iheanacho bila kumsahau aliekuwa ,mchezaji wa zamani Chelsea Jon Obi Mikel.
Nigeria wapo kundi D ambapo wanaungana na timu kama Argentina,Croatia na Iceland.
No comments:
Post a Comment