PAUL POGBA ANAWEZA AKAWA MCHEZAJI MWINGINE KIOO, KAMA ATAJIFUNZA KUTOKA KWA MCHEZAJI MWENZAKE ALEXIS SANCHEZ - BZONE

PAUL POGBA ANAWEZA AKAWA MCHEZAJI MWINGINE KIOO, KAMA ATAJIFUNZA KUTOKA KWA MCHEZAJI MWENZAKE ALEXIS SANCHEZ

Share This
BY BWHEREVER,

Alexis Sanchez bado atujamuona kama ilivo kwa Paul Pogba tangia pale alipo tua Manchester United lakini amefanya mengi sana kwajili Jose Mourinho.

Kitu kimoja Sanchez atafanya kwenye timu yake yupo kwenye mchoro ambao upo kwenye vichwa vya watu wengi.

Uzuri wako unao huona kutoka kwake ni mkubwa sana na unaweza ukachukua dakika  90  za juhudi mbali na yeye.

Mourinho anakipenda sana kitu hiko kutoka kwa wachezaji wake.

Na pia anapenda vikubwa zaidi ya hivyo, nguvu walizo nazo na nakadhalika, kwahiyo bado atokwenda kwenye mkondo wa Pogba badoo sana.

Lakini pale unapokuwa na kikosi ambacho kinaweza kufanya lolote kama Manchester united walivo alafu pale wanapo kuwa hawapigi kwenye maduara yote Mourinho kwasasa anaweza akasema kwa mtu yeyote kwenye timu au kikosi, 'Angalia, mpaka uvutwe mpaka shati, wanacheza kwa asilimia 100 lakini nitakushusha tuu.'

Pogba anakuwaga kwenye hisia sana, kwa mfano kwenye michuano ya Europa fainali msimu uliopita. Lakini kwa mda anakuwa tisa chini ya kumi au tano kati au sita chini ya kumi.

United wanataka nini kwani labda mimi niulize..? sio msimu huu. Ebu jaribu kusahau msimu huu huku ligi kuu ikiwa ishapita lakini msimu ujao kila mtu atacheza kwa moyo ili kumsawishi Sanchez kama watataka wapate kombe.

Sanchez ni mfano bora sana kwakuwa kitu cha mfano chenye muonekano poa kwa kila timu atakayotaka.

Kama wewe ungekuwa yeye ungerudi tu kwenye chumba cha kubadili nguo baada ya kupata tano au sita kati ya kumi ya kiwango lakini kocha akabaki kukunyoshea kidole wewe na kusema 'muone kwanza. Ata ajashinda leo. Amepatwa na nini mbele ya goli lakini unajua nini kanipa? amenipa asilimia 100ya juhudi na kujitoa kwake na kumefanya yeye kama yeye kuwa msumbufu ndani ya uwanja.'

Lakini ataangalia chumba kizima na kusema 'Ebu jaribu kujiuliza unaweza kufanya kama alivo fanya?
Swali moja kati ya maswali kuhusu pogba na pale atakapo jua hana umuhimu kwenye timu, yeye ni tisa au kumi chini ya kumi kwenye kazi yake akiwa uwanjani wiki ndani wiki nje? kwa unyenyekevu ninasema kwamba badoooo ajafikisha.

Kama ana Sanchez ambae anamuendesha dakika 90 zote inabidi ajijaji kwamba yeye atakuwa kitu kikubwa kwenye soka Duniani.

Watu wanaongea sana kuhusu Neymar kuwa bora baada ya Lionel Messi na Cristiano ambae wametawala kwenye kizazi hiki ya hapa kati lakini Pogba ana kila kitu kwa kumiliki mchezo kutokea kiungo wa katikati.

Analeta magoli, anatoa pasi na ni mwanamitindo kutokea Old Trafford  na anaweza kumiliki dimba la kati.

Lakini yeye ni tisa chini ya kumi na sio tano chini ya kumi.

Anatakiwa atafute uthabiti na Sanchez atakuwa anamtengenezea mfano kumbwa sana ndani ya Old Trafford.


No comments:

Post a Comment

Pages