EBU NIAMBIE USHIRIKIANO UPI BORA KWAKO..MOHAMED SALAH NA SADIO MANE,RIO FERDINAND NA VIDIC....TUKIWA TUNAELEKA KWENYE SIKU YA WAPENDA NAO - BZONE

EBU NIAMBIE USHIRIKIANO UPI BORA KWAKO..MOHAMED SALAH NA SADIO MANE,RIO FERDINAND NA VIDIC....TUKIWA TUNAELEKA KWENYE SIKU YA WAPENDA NAO

Share This
 Rio Ferdinand and Nemanja Vidic are the second-best CB pairing in Prem historyBY Bwherever

Tukiwa tunaelekea kwenye siku ya wapendas nao tunajaribu kuangalia baadhi ya ushirikiano bora kwenye ligi kuu ya uingereza. Mohamed Salah and Sadio Mane are the best attacking duo in the Prem this term

Naanza na pair kutokea  kwa majogoo Salah na Mane ambao wapo juu ya orodha inajionesha kwasasa Jurgen klopp anaweza akafanya lolote bila Philipe Countinho, washambuliaji hawa wameweza kuchangangia magoli matano ndani ya dakika 956 ikiwa ni sawa na magoli 17 kwa kila msimu.

Tusiwasahau United kwa booster waliokuwa nayo kwenye msimu wa 2017-2018 Anthony Martial na Romelu Lukaku alipojiunga na wakimbiza mwenge kutokea OT

Alexis Sanchez tangia alipotua anaweza akaimalisha sana jeshi ili vizuri akiwa anaangalia ushirikiano huu kuelekea Februari 14. Harry Kane incredibly features three times in the top ten attacking duos

Nakuletea hii ya hawa watatu kutokea Spurs Ali,Kieran Tripier na Son Heung-min na wamekaa kwa mda mrefu.

De Bruyne na Jesus wanashika nafasi ya tano wakiwa nyuma wachezaji kutokea West Ham Marko Arnautovic na Manuel Lanzini  wakiwa juu ya Cesarr Azpilicueta na Alvaro Morata.

uhusiano huu kutoka everton kati ya Rooney na Dominic calvert Lewin ndio ushirikiano mwengine bila kuwasahau Dusan Tadic na Charlie Austin kutokea Southamton Jamie Carragher and Daniel Agger are the best-ever defensive duo in the Prem

Sio washambuliaji tuu wanaweza wakawa  na ushirikiano lakini ata mabeki pia wee jaribu kuangalia historia ya ligi kuu uingereza kwenye mabeki wake wa kati waliocheza japo dakika 5000 na walioweza kutengeneza na kushinda magoli Rio Ferdinand and Nemanja Vidic are the second-best CB pairing in Prem history

Ebu angalia hii kutoka United Rio Ferdinand na Nemanja Vidic ambao wameshika nafasi ya pili lakini magwiji Jamie Carragher na Daniel lakini usije ukamsahau John Terry na William Gallas, Jt na Ricardo Carvalho, Sol Campbell na Kolo Toure na pia Tony Adams akiwa na Martin keown.

No comments:

Post a Comment

Pages