SOKA LIMEBADILIKA NA KUSONGA, SASA ROMAN ABRAMOVICH ANATAKIWA........!!! - BZONE

SOKA LIMEBADILIKA NA KUSONGA, SASA ROMAN ABRAMOVICH ANATAKIWA........!!!

Share This

BY bwherever
Kabla ya mpira kuanza msimu huu Antonio Conte alikuwa akipiga sana kelele.

Aliwaongele sana wenzake kuhusu kupoteza, yeye akuangalia usajili na ubora wakati wa michezo ya kujiandaa na msimu huu lakini akukumbushwa na mtu yeyote kuhusiana na historia ya Chelsea.

'Tunataka kujaribu kumkwepa Mourinho' alisema kwa miaka miwili walipochukuaga kombe na wakienda kumfukuza kocha wao huku wakiwa nyuma ya alama 20 nyuma viongozi wa ligi.

Anaweza akauita msimu wa Anceloti, Carlo alipata lisasi ya miaka saba iliopita kwa kushindwa kurudisha au kuweka heshima ya wanadarajani kwenye ligi.

Na labda tutaangalia nyuma ya hii huku Conte anamtu yeyote atakaetokea na kuamini Muitaliano huyu anaweza akapona msimu mwengine.

Ebu.. jaribu kukumbuka yale makonde ya nyuma kutoka kwa Bournemouth na Watford yameweza yakimuacha Conte akiwa na Uwoga,anaweza akaamini kwamba yupo karibuni kufukuzwa na Roman Abramovich.

Kwasa Chelsea wapo nyuma kwa alama 19 zidi ya viongozi wa ligi labda yeye ndo anaweza akawa kikwazo kwa kutopata kile anachotaka kupata.

Chelsea's Portuguese manager Jose Mourinho (R) gestures during the presentation of the Premier League trophy
kama ndo hivo, hakuna ambae atakaekuja kushangazwa.

Mrussi  amewafukuza makocha licha ya mafanikio yao nyuma na wakabaki kujiuliza anaendesha vipi klabu.
Na mashabiki wa Chelsea hawatokaa kuuliza falsafa yake, inauzunisha sana kumuona anaondoka lakini kwa ujasili kombe lenye rangi ya blue siku zote litabaki uleta mafanikio.

Lakini litaweza? au ndo litakuwa la tatu "Msimu wa Mourinho" ambapo ndio alikuwa kocha mbebaji makombe lakini akafukuzwa.

Kwa nafasi walioachwa na Man city ni kama ilivokuwa kwa mourinho pale alipofukuzwa hii haionekani kama kituko.
Pamoja na Manchester United walipoamua kuelewana na majirani zao kwa kuweka usawa wakutumia fedha na Liverpool pamoja ma Spurs waliporuhusu makocha wa World class  mda  wa kujenga timu zao  kwajili ya ushindani.

Pale Mourinho alipoenda Stamford Bridge mwaka 2004 ilikuwa ni vibe ya kutafuta kocha kijana yupo kwenye klabu tajiri na anatakiwa awafanye wawe bora Duniani na kufanikisha ilo.

Licha ya kushinda kwa wachezaji wazuri duniani bado wanahamu ya kununua wenye uwezo na kuwauza tena kwa thamani ndogo.

Kwenye madirisha mawili yalio pita tumeona wakitumia pauni milioni 51,waliotumia pauni milioni 2 tu kuliko Watford.

Japo Conte alisema "Tunatakiwa tuelewe kiwango chetu kipo wapi kupambana kwajili ya klabu bingwa ulaya" na hakuna zaidi ya Abramovich labda.

Kwahiyo nini kitatokea kama akimfukuza Conte katika ya msimu  Huko nyuma alikuwaga na Didier Drogba,Michael Ballack, Petr Cech, Michael Essien, John Terry na Frank Lampard ambao walikuwa wanawezaa kupindua msimu mda wowote.

Lakini siku hizi chumba cha kubadilishia nguo Chelsea vimebaki vivuli tuu.

Na kama anataka kumfukuza inabidi asubiri hadi pale msimu utakapo isha na je atakapomfukuza ataweza kumleta tena kocha ambae ni world class kama Luis Enrique na kumuambia haendelee bila kumpa mawazo yoyote ya kushindana vya Manchester, Paris Saint Germain  na vilabu kutokea uhispania? unazani itafanya kazi kweli?

Labda ni mda ambao Abramovich ajue kwamba Soka limebadilika kwasasa na inabidi akubali Conte ni kocha wa World Class na ni mshindi na watu wanampa sapoti vilivyo alafu mpe mda na fedha ya kujenga kikosi kwa maono yake na kutafuta njia ya kuirudisha juu.

No comments:

Post a Comment

Pages