

Raheem Sterlling aliwapa papa hao goli la mapema na la kuongoza lakini Jamie Vardy aliwaleta vijana wa Claude kuwa sawa baadaye Aguero alipiga tena, tena, tena na tena na sasa kafikisha 14 baada ya michezo yake saba iliopita ndani ya dimba la Emirate.
Mshambuliaji wa Leceister Riyad Mahrez alipewa dakika 27 kubadilshwa na Puel baada ya zengwe la uhamisho kwenye siku ya mwisho kwenye dirisha la usajili kutaka kwenda Manchester city.
City sasa wanatakiwa wapate ushindi kwenye michezo saba kwenye michezo yao 11 ya mwisho kwajili ya kombe lao.

Lakini Guardiola ametoa tahadhari "tumeweza kufurahia miezi sita au saba iliopita lakini kupendwa na kuvutia na kupata sifa tunatakiwa kunyakua kombe.
"sijui nini kitaendelea mbeleni lakini tunatakiwa kuendelea kucheza. Kuwa na alama 72 Februari ni nyingi sana lakini nitataka kuongea baada ya michezo 38, "
No comments:
Post a Comment