SAIDO BERAHINO AMESHAPOTEA AKIWA NA KIPAJI CHA PEKEE NA AKIWA MMALIZIAJI MZURI'. - BZONE

SAIDO BERAHINO AMESHAPOTEA AKIWA NA KIPAJI CHA PEKEE NA AKIWA MMALIZIAJI MZURI'.

Share This
Ndani ya miaka ajaweza kupata goli ata moja....

Ukame ukiendelea kumuandama lakini Paul Lambert ameendelea kukusitiza mshambuliaji huyo anaweza akamaliza magumu anayopitia.

Berahino yupo kwenye wakati mgumu wa kukaa miaka miwili bila kupata goli lolote mara ya mwisho kujipatia goli ilikuwa ni ule mchezo wa West Brom na Crystal Palace ambapo walitoka 3-2 Februari 27 2016 na huku wanabandari hao wakiwa kwenye nafasi ya kushuka daraja na mchezo wao wa mwusho wakitazama kumenyana na Leceister siku ya Jumamosi.


Lambert ambae aliichukua Stoke wiki tano zilizo pita akiwa kama kocha ambae alitoa ufafanuzi juu ya mshambuliaji huyoo kutopata magoli hakuna tatizo lolote.Saido Berahino of West Bromwich Albion

'Sijui amepatwa na nini' alisema "nayoweza kuyaona ni vitu gani vipo mbele yangu mimi sio yeye"

"niwaambie kitu, anakipaji cha pekee na mmaliziaji mzuri sana"

Berahino aliweza kushinda magoli 20 kwenye msimu wa 2014-15 na kuweza kujipatia nafasi ya kipekee kwenye kikosi cha Uingereza kilichokuwa chini ya Roy Hodgson lakini kwasasa amepata ukame mkubwa sana.

Standings — English Premier League

Pos.PWDLGDPtsForm
1
Manchester City
Manchester City2723315972
WLWWDW
2
Manchester United
Manchester United2717553256
WWWLWL
3
Liverpool
Liverpool2715933054
WWLWDW
4
Chelsea
Chelsea2716562653
DDWLLW
5
Tottenham Hotspur
Tottenham Hotspur2715752852
DWDWDW
6
Arsenal
Arsenal2713681545
DLWLWL
7
Burnley
Burnley27999-336
LLLDDL
8
Leicester City
Leicester City279810-135
WDWLDL
9
Everton
Everton279711-1434
LLDWLW
10
Bournemouth
Bournemouth278712-1031
DWDWWL
11
Watford
Watford278613-1030
LDLDWL
12
West Ham United
West Ham United277911-1230
DWDDLW
13
Newcastle United
Newcastle United277713-1128
WDLDDW
14
Brighton and Hove Albion
Brighton and Hove Albion2761011-1428
DLLDWD
15
Crystal Palace
Crystal Palace276912-1727
WWLDDL
16
Swansea City
Swansea City277614-1727
LDWWDW
17
Huddersfield Town
Huddersfield Town277614-2427
LLLLLW
18
Southampton
Southampton2751111-1226
LDDDWL
19
Stoke City
Stoke City276714-2625
LLWDLD
20
West Bromwich Albion
West Bromwich Albion2731113-1920
LWDLL

Player ranking — Stoke City

  • 1Xherdan ShaqiriStoke City
    Xherdan Shaqiri
    App.
    25
    Goals
    6
    2Mame Biram DioufStoke City
    Mame Biram Diouf
    265
    3Eric Maxim Choupo-MotingStoke City
    Eric Maxim Choupo-Moting
    264
    4Peter CrouchStoke City
    Peter Crouch
    213
    5=Ramadan SobhiStoke City
    Ramadan Sobhi
    172
    5=Joe AllenStoke City
    Joe Allen
    252
    7=JeséStoke City
    Jesé
    101
    7=Ryan ShawcrossStoke City
    Ryan Shawcross
    191
    7=Kurt ZoumaStoke City
    Kurt Zouma
    241
    7=Darren FletcherStoke City
    Darren Fletcher

Alipata nafasi ya kipekee ya kupata goli lake la kwanza baada ya Stoke kupata penati lakini kwa bahati mbaya ikaokolewa 

Berahino ukame wake ulianza baada ya kukataa ofa ya pauini milioni 23 ya kuelekea Tottenham msimu wa 2015.

Magoli yake hapo ndipo yalipoanza kukaukaa,

Akuweza kucheza kwa takribani miezi minne pale Mark Hughes, Pulli walipomsajili Januari 2017.
Berahino alifungiwa kwa wiki nane baada ya kukutwa anatumia madawa ya kuongeza nguvu.


No comments:

Post a Comment

Pages