NFL YAMPA STRESS CHRIS BROWN, EX WAKE AMTAMBULISHA MPENZI WAKE MPYA. - BZONE

NFL YAMPA STRESS CHRIS BROWN, EX WAKE AMTAMBULISHA MPENZI WAKE MPYA.

Share This
Baada ya kuachana na Chris Brown, Karrueche Tran alitajwa kuwa na mahusiano na rapa wa Migos ‘Quavo’ na sasa staa huyu wa filamu na modeling amemtambulisha mpenzi wake mpya.
Mchizi huyu anayetoka na Karrueche Tran ni mcheza NFL maarufu USA kama Victor Cruz.
Victor na Tran walianza kuwa pamoja toka November mwaka jana kwa siri siri.
K Tran anasema mshkaji ni mwanaume posa sana, anajua kujali na kumpenda mwanamke, kwa sasa wanapeana muda wa kujuana zaidi.

No comments:

Post a Comment

Pages