ARSENE WENGER ANAMIUJIZA YA WEMBLEY LAKINI HII NI FAINALI YA CARABAO - BZONE

ARSENE WENGER ANAMIUJIZA YA WEMBLEY LAKINI HII NI FAINALI YA CARABAO

Share This
Arsenal: 2014 Season in Pictures
Na Bwherever,

Kocha ambae ameshinda michezo tisa kwenye uwanja wa taifa anaweza akawa karibuni kumpoteza Manchester City.....

Arsene Wenger amepata uwokozi mkubwa kwenye historia ya Wembley na anatakiwa apate matokeo makubwa leo.

Aresnal wamekuwa washindi mara tisa kwenye michezo kadhaa kwenye uwanja wa taifa kwenye kombe la FA na kombe la hisani siku zote wamekuwa wakifanya kazi yao kwenye mahali fulani kwa ufasii. Na zaidi kwenye fainali za FA mwaka 2014 na 2017 Wenger alikuwa mwishoni kwenye mkataba wake. Alijia kupoteza kunge wafanya mashabiki kupiga kelele juu yake kuondoka na kwa namna fulani akajisogeza baada ya kupata matokeo mazuri.Arsene Wenger

Arsenal walikufa 2-0 kutoka kwa Hull miaka minne nyuma na unaweza kuona watu hasira walizokuwa nazo kabla ata hawajarudi kupata ushindi na historia kujirudia yenyewe  pale walipo waduwaza mabingwa wa ligi Chelsea.Adam Federici of Reading stretches for the ball as he fails to stop a shot by Alexis Sanchez of Arsenal for their second goal at Wembley in the FA Cup semi final

Kwasasa na kizazi hiki kimerudi kwenye usawa Wenger lazima apate matokeo memgine kutokana na pressure iliokuwepo nje na kwa mda huu ni Carabao ikimpa ofa ya kuweka historia.

Atutakiwi kufamya makosa, Jumapili leo wanakutana na kichwa cha habari kilicho shiba na kunona  kinachosomeka Manchester City.
Kombe ndio litakalo leta taswira ya maisha yake baadae, kutomaliza msimu ukiwa mtupu haitopendeza kabisa na pia kutopata nafasi ya kushiriki klabu bingwa ulaya msimu ujao nayo haitokuwa imependeza na itaongeza nafasi kubwa ya yeye kuondoka msimu ujao.

Kwa mara nyingine tena kaingia fainali lakini wakiwa kama Underdogs hasa baada ya kupokea kichapo juzi cha magoli 2-0 kutoka kwa waswedish Ostersundkwenye michuano ya Europa  Alhamisi usiku. Kwa zawadi ya 4-2 kwenye aggregate ndio iliwakomboa ndugu zetu hawa  na kuelekea hatua ya 16 bora ambapo wanakutana na vijana wanao tokea Italiano  Ac Milan. 

Kupitia majanga sio kitu kipya kabisa kwa Wenger lakini haiwezi kuleta hisia kuwa nyuma ya ukuta na mageti yakifungwa. 

Arsenal wamenasa kwenye nafasi ya sita mbali na utuaji wa Pierre-Emerick Aubameyang na Hemrikh Mkhitaryan kuweza kuboost eneo la ushambuliaji. 

Lakini wakumbuke sisi mashabiki bado atujapata pumziko na kombe pekee litakalo tupa nafasi ya kupumua na kupumzika  ni hili.

No comments:

Post a Comment

Pages