Pale unapofikilia na kumuona Messi anafanya kila kitu, sasa amefanya kitu kipya...
Mpira wake uliokufa alioupiga chini ya ukuta wa Girona kwenye ushindi wa Barcelona wa 6-1, ulileta kelele za furaha kutoka Camp Nou na ilikuwa ni moja ya dakika 45 ambazo ziliongeza magoli mengine mawili na usaidizi mara mbili.
Thomas Vermaelen alinukuliwa akisema mara nyingine najikuta mimi kama mimi nacheka mwenyewe pale napomuangalia Messi kwa upande wangu na nina amini Ronaldinho popote alipo atakuwa na furaha kama niliokuwa nayo mimi.
Ilikuwa ni moja ya kipindi cha kwanza kizuri na cha kuvutia ambapo Messi alifanya Bacelona kung'ara mapema tuu ya mchezo baada ya kufunga magoli mawili ya mapema na kuifanya Barcelona kushika mchezo.
Miujiza ikaendelea baada ya Philipe Countinho kushinda goli lake la kwanza kwenye La Liga na shuti lilotokea nje na vile vile Ousmane Dembele amejikuta akikiona kile kiwango chake alichokuwa nacho Dortmund kwenye kipindi cha pili.
Iliwachukua miaka 87 kutua Camp Nou kwa mchezo wa hali ya juu kabla ya dakika tatu ambapo walipata goli lao kwanza.
Sergio Busquets aliweza kusimama sawia katikatika ya dimba na huku Anthony Lozano akijikuta apati nafasi kabisa uwanjani Mac Andre ter-Stegen amejikuta akiwa mtuulivu kwenye chumba chake na akupata kelo yoyote ya kudaiwa.
Messi alikuwa engine nyuma ya Countinho na Suarez, Gerad pique ambae aliecheza huku goti lake la kulia likiwa kwenye majeraha aliweza kutoka dakika ya 64 na kumpa nafasi Thomas Vermalen, katika ya wiki Barcelona wanamchezo dhidi ya Atletico madrid pamoja na ule mchezo wa Chelse kwenye klabu bingwa ulaya.
Home
Unlabelled
MESSI MASTERCLASS.............BILA YEYE HAKUNA SUAREZ KWENYE ZILE TATU WALA COUNTINHO KWENYE ZILE ALIZOPATA.
MESSI MASTERCLASS.............BILA YEYE HAKUNA SUAREZ KWENYE ZILE TATU WALA COUNTINHO KWENYE ZILE ALIZOPATA.
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment