BLACK PANTHER IMEWEKA REKODI KWENYE STUDIO ZA MARVEL UNIVERSE - BZONE

BLACK PANTHER IMEWEKA REKODI KWENYE STUDIO ZA MARVEL UNIVERSE

Share This
Filamu ya Black Panther imeweka rekodi katika studio za filamu za Marvel kwa kuwa filamu iliyotengeneza pesa nyingi zaidi ndani ya wiki moja kwenye majumba ya Cinema kutoka kwenye studio za Marvel Universe.North America filamu hii ya Black Panther imetengeneza dola milioni $292 zaidi ya Avengers iliyotengeneza dola milioni Mpaka sasa Black Panther imeingiza dola milioni $520Muongozaji wa filamu hii Ryan Cooler, ameandika barua kwa mashabiki,“Nifuraha kubwa kuona watu wametumia muda na pesa zao kutazama filamu hii,kuona watu wakiwa wamevalia nguo zenye ishara ya Kiafrica, wakipiga picha kwenye mabango ya Black Panther, marafiki na familia, machozi
yamenitoka mimi na mke wangu”

No comments:

Post a Comment

Pages