Lebron James na Kevin Durant wote kwa pamoja walimdondosha Stephen Curry kwenye sekunde za mwisho kwa kujilinda kwenye timu bora ya NBA.
Kulikuwa na zawadi nyingi za jushtukiza kwenye mchuano huo kulikuwa na mabadilikon makubwa sana baada ya James na Curry walipotakiwa kuzitetea timu zao
Na Lebron akachaguliwa kuwa mshindi.
James alishinda alama 29 na kuliona lango kwa sekunde 34.5 na kumfanya kushinda tuzo ya All Star Game MVP huku timu yake ikipata ushindi ambao ulileta furaha sana kwenye mchezo huo timu ya stephen iliangushwa kwa tofauti ya alama 3 tuuu pekee.
No comments:
Post a Comment