'HONGERA KWA WIGAN KWA KUSONGA MBELE,WALIPATA SHUTI MOJA TUU LANGONI' PEP GUARDIOLA AKITOA HISIA ZAKE BAADA YA KUTOKA - BZONE

'HONGERA KWA WIGAN KWA KUSONGA MBELE,WALIPATA SHUTI MOJA TUU LANGONI' PEP GUARDIOLA AKITOA HISIA ZAKE BAADA YA KUTOKA

Share This
Pep Guardiola has expressed his frustration after Manchester City's FA Cup defeat to WiganNa Bwherever...

Pep Guardiola ametoa yalee yaliokuwemo moyoni mwake baada ya Manchester City kupata kipigo cha kushtukiza kwenye kombe la FA mzunguko wa tano kwenye dimba la Dw jana Jumatatu.Will Grigg (left) scored the winning goal with one of Wigan's two shots on target 

Will Grigg alishinda goli la ushindi baada ya wageni ambao walipunguzwa na kubaki 10 baada ya Fabian Delph kupewa kadi nyekundu.

Na Guardiola ambae timu yake ilimiliki mchezo uku ikijipa matumaini ya kwenda kurudiana kwenye dimba la Etihad lakini Guardiola baada ya mchezo alitumia fursa na kuwapongeza Wigan.Will Grigg (left) scored a dramatic late winner as Wigan beat Manchester City in the FA Cup fifth round on Monday night

"Hongera za kutosha kwa |Wigan kwa kusonga mbele. waliweza kupata shuti moja tu lilo lenga lango, tulifanya kila kitu tulifanya makosa kwenye mchezo wa haina hii  na illikuwa kama fainali. Sawa tunekubali kushindwa."

'Sina cha kujutia na jinsi tulivyocheza, kiwango chetu na moyo wetu wa kujitoa, Wigan wameshinda hongera kwao na sasa tunapumzika kwajili ya kujiandaa kwenye fainali ya kombe la ligi.'

City watakutana na Arsenal kwenye dimba la Wembley huku wakiw na lengo la kushinda kombe lao la kwanza na medali kwenye msimu huu baada ua uwekezaji mkubwa.

No comments:

Post a Comment

Pages