JOSE MOURINHO ATALETA MIPANGO YAKE NDANI YA UNITED BILA AU PAMOJA NA POGBA..! - BZONE

JOSE MOURINHO ATALETA MIPANGO YAKE NDANI YA UNITED BILA AU PAMOJA NA POGBA..!

Share This
Na Bwherever....

MASHETANI WEKUNDU WALIWEZA KUPATA USHINDI KWENYE MICHUANO YA FA BILA PAUNI MILIONI 89 NYOTA WA KIFARANSA.

Sir Alex Ferguson mwanzoni kabisa alisema atoweza kuwauzia Real Madrid kirusi. Lakini Jose Mourinho anaweza akafanya hivo.

Pamoja na stori zinazomuandama Paul Pogba kuwa hana furaha ya maisha yake akiwa pamoja na Mourinho.

Chini ya masaa 24 mapema kocha wake alitoa taarifa atomchezesha Paul pogba kwenye mchezo wa Huddersfield kwenye kombe la Fa. Mreno huyo alionekana kama anadanganya na kutania kwenye uso wake.

Afadhali Mourinho kapata nafasi ya kuingia kkwenye robo fainali kwa magoli mawili yaliowekwa kimiani na Romelu Lukaku na hakutokuwa na marudiano. Kwa tuhuma zilizokuwepo ni kwamba Pogba anaangaika sasa kwa msimu wa pili huu bila kuwa yeye anaejulikana mwenye mambo mengi uwanjani  bado hajaleta thamani yake.

Kutoka kwa uongozi wa Madaktari walisema kwa usiku wa jana Pogba atakuwa anagangwa siku nzima.

THIS IS MANCHESTER UNITED. Klabu ambayo inaweza ikampa funzo Kim Jong kwenye siri zake.

Fergie alipataga wakati mgumu sana na kutaka kuwashtaki waandishi wa habari, united walimwamnbiaga David Wagner asiwasumbue... Ilikuwa ngumu sana kwa mreno kusema ‘Upone haraka sana’

“I don’t care.” Ndo neno alilosikika akisema Mourinho pale alipoulizwa zaidi kwa kile alichosema daktari alipoandika juu ya ugonjwa wake “ mimi ninafikilia mchezo tuu nitamfikilia Pogba baada ya mchezo”

Huddersfield hawajawahi kulibeba kombe la Fa kwa miaka 96 na mara ya mwisho waliweza kufika hatua ya robo fainali kipindi ambacho Bobby Charlton alipokuwa bado anacheza.

Lukaku alishinda magoli ya dakika za mwisho kwenye ushindi wa michezo yote Derby Country na Yeovil mpka akawafikisha United kwenye mzunguko huu lakini usiku wa jana alikuwa na haraka ya kukata tiketi ya kuelekea robo fainali.

Sekunde 157 zilizopita walikuwa wapo kwenye saaa ambapo pale Lukaku alipobadilishana pasi na Juan Mata na kumlaza Chris Shindler na kumpeleka karikiti Jonas Lossel njia moja na mpira.

Majibu ya Huddersfield yalikuwa mazuri sana, walikini walipoteza hali ya kujiamini baada ya refa kuwa yima penati kwa mpira ulioshikwa na Chris Smalling.

Alexis Sanchez alitumia mda wake uwanjani wote kumuonesha Pogba nini anatakiwa kuja kufanya atakapo rudi na nini Mourinho anachotaka kutoka kwake.

Lakini pale mchile huyu aliwashata taa na mwangaza na nguvunja njia, alileta ubora na kumuwekea Lukaku mpira katikati na pasi ilio tamu na mulua kabisaa.

Shuti  la mbelgiji huyu alikufanya makosa kabisa.

Tunarudi Manchester na tukiwa na tabasamu na bashasha la kombe la klabu bingwa ulaya.

No comments:

Post a Comment

Pages