Msanii tajiri zaidi wa HipHop Duniani P Diddy amemkalisha chini Bow Wow na kumshauri arudi tena kwenye muziki sababu ya uwezo wake mkubwa na jinsi alivyoweza kuigusa dunia na muziki wake toka akiwa mtoto
Bow Wow ambaye alitangaza kustaafu muziki mwaka 2016 anasema aliongea na P Didddy wakati wa safari yake kuelekea mjini L.A.

P Diddy alimwambia Bow Wow “Wewe ni LEGEND Tayari, acha ujinga , sitaki kukuona ukifanya jambo lolote zaidi ya muziki Tu”
Baada ya ushauri huo , Bow Wow ameanza kutoa muziki, hii ngoma mpya
No comments:
Post a Comment