HAWA NDIO WAPIGA CHENGA 20 MAARUFU ULAYA: EDEN HAZARD AONGOZA ORODHA HIYO LAKINI CRISTIANO RONALDO AMESHINDWA KUJIWEKA KWENYE ORODHA.. - BZONE

HAWA NDIO WAPIGA CHENGA 20 MAARUFU ULAYA: EDEN HAZARD AONGOZA ORODHA HIYO LAKINI CRISTIANO RONALDO AMESHINDWA KUJIWEKA KWENYE ORODHA..

Share This
Sahau kuhusu Messi na Neymar Eden Hazard ndio habari sasa hivi.....
Mchezaji wa Chelsea na taifa la ubelgiji amefikisha kiwango cha 6.4 kwa kupiga chenga ndani ya dakika 90 msimu huu...

Huwepo wa 75% ya upigaji chenga ambao ameufanya kwenye michezo ya ligi.


Kwa hesabu hizo zimemuweka kwenye nafasi ya kwanza kwenye  orodha ya CIES FOOTBALL OBSEVERS kwa wachezaji wanao piga chenga kutokea kwenye ligi kuu tano balani ulaya Bundesliga, La liga, Ligue 1, Premier League pamoja na Serie A. 


Nyemar Jr amefikisha dhaidi ya chenga nyingi kwa dakika 90 kuliko mchezaji yeyote kwenye ligi kubwa tano barani ulaya yeye ana 7.3.


Mbali na hiyo Mbrazili huyo amefikisha pia 62%  kwa chenga yake yoyote aliofanya ambapo inamaanisha Hazard amesogea juu 


Lionel Messi yupo kwenye nafasi ya tatu akikamilisha 5.5 za chenga kwa dakika 90 akiwa na mfanikio ya 62%


Mchezaji wa Tottenham Mousa Dembele ameshikilia nafasi ya nne akiwa pamoja na mchezaji tokea Lyon Tanguy Ndombele.

Papu Gomez akitokea Atlanta ameshika nafasi ya sita huku Arthur Masuaku akiwa nafasi ya saba bila kumsahau Sofiane Boufal na Mario Lemina wakishaka nafasi ya nane na tisa.

sasa hii hapa ndio orodha kamili....


1: Eden Hazard (Chelsea)

2: Neymar (PSG)

3: Lionel Messi (Barcelona)


4: Tanguy Ndombele (Lyon)

4= Mousa Dembele (Tottenham)

6: Papu Gomez (Atalanta)

7: Arthur Masuaku (West Ham)

8: Sofiane Boufal (Southampton)

9: Mario Lemina (Southampton)

9= Nabil Fekir (Lyon)

11: Allan Saint-Maximin (Nice)

12: Andre Carrillo (Watford)

12= Paul Pogba (Manchester United)

14: Florian Thauvin (Marseille)

15: Kingsley Coman (Bayern Munich)

16: Isco (Real Madrid)

16= Luiz Araujo (Lille)

16= Goncalo Guedes (Valencia)

19: Wilfried Zaha (Crystal Palace)

19= Naby Keita (Leipzig)

19= Houssem Aouar (Lyon)

19= Julian Draxler (PSG)

19= Ruben Loftus-Cheek (Crystal Palace)

Unazani Eden Hazard ni bora kwasasa Ulaya..?

No comments:

Post a Comment

Pages