GOLI LA MESSI LILIKUWA KAMA NYUNDO LAKINI CHELSEA WALIWEZA KUJITOLEA WENYEWE KABLA YA BARCELONA - BZONE

GOLI LA MESSI LILIKUWA KAMA NYUNDO LAKINI CHELSEA WALIWEZA KUJITOLEA WENYEWE KABLA YA BARCELONA

Share This
By Bwherever...

Mbali na kutokea nyuma, kulikuwa na mzunguko wa kuvutia na kumpa Conte ujasiri zaidi......

Ilikuwa kama nyundo ilikuwa inaleta tafsiri tofauti ndani ya mda huo huo na ulileta utendi mkubwa kati ya vilabu hivi viwili.

Kujitolea ndo ilikuwa tafsiri koubwa hapa, siku zote ilikuwa kama ahadi na siku zote ilikuwa ni kama utofauti mkubwa sana.

sio kwa Andreas Christensen lakini ndani ya Antoni Conte ilikuwa ni ule usawa wake kwa Willian ndani ya maelfu ambao walijitokeza kwenye daraja.

Ukabaji wa kujitolea na wa kimoyo zaidi ndio uliweza kumuadhibu Andres Iniesta na Lionel Messi na inamaana kwasasa Barcelona wananafasi ya upendeleo ya kuendelea kwenye mzunguko wa nane bora ndio wanaweza...

Mbali na hiyoo je Chelsea bado wataendelea kuweka rekodi ya michezo nane bila kushindwa na Barcelona sio lazima urudi miaka tele ya nyuma  kwenye michezo kadhaa iliopigwa Nou camp, kulikuwa na uvutiaji wa hali ya juu kwenye mzunguko wa kwanza jana.

Ameanza Willian na tumeona kiwango chake.

Kwenye kipindi cha kwanza ambapo tuliona wakitawala mchezo lakini marking iliokuwa ikifanywqa na Chelsea si mchezo na tukimuongezea Thibaut Courtois, Shuti tamu na la kujilamba kutoka kwa juhudi za Willian ambae aligongesha besela mara kadhaa.

Willian alikuwa ni kichinjio pekee kwenye visu vya Conte ambae alikuwa akiingia ndani zaidi na kumuacha Ivan Rakitic asiwe na la kufanya.

Na ndomana ata haikutushangaza sana Chelsea kutangulia kupata goli.

Mbali na tahadhari kubwa kwenye kipindi cha kwanza, Willian alipata ruksa ya kutojibana sana kwenye eneo lake alipata mwanga wa kijani kuzama hadi ndani ambayo ilimpelekea kuonana na Hazard kwa ukaribu sana kulikuwa na agenda moja tuu kumaliza kile kinachoonekana.

Kwa upande wa Sergio Busquet yeye alimpa chumba kwa upande wa kulia kwenye kiatu chake na akafanya mengine na kukaa nyuma ya Rakatic lakini mkumbuke Antonio Rudiger

Itaendelea pale pale ata muongee vipi kiwango cha Williani ndio kimewapa mpira ya kupumulia zaidi na Conte kumbuka Willian ndio anatakiwa kuwa funguo muhimu kwenye mipango yako pale utakaporejea Nou Camp wiki tatu zinazokuja.

Haimaanishi kwamba teyari washapoteza kujiamini mbali na goli la Messi la kusawazisha mambo na kile kiwango kwasababu wapo nyumbani.

kwa possesion na ramani ya mchezo uwanjani itakua ni zaidi na asilimia 73 na pasi 887 na wao Chelsea walikuwa na 325 Barcelona walipata majaribio machache kwenye goli.

Mbali na Messi kumalizia kile kilichotoka kwa Iniesta ilikuwa imekaa poa sana, kulikuwa na upungufu wa usahihi na hiki ndicho tulichokiona kwa Barcelona. Eden alionesha kwamba alienda catalan atakuwa na wakati mgumu sana.

Barcelona hii ikimbukwe sio ile ya mwaka 2012 iliokutana na Chelsea ambayo  ilijikuta wanabaki watu kumi baada ya John Terry kutolewa nje na wakarudi nyuma kwa magoli mawili ambayo yaliwapeleka fainali.

Je wewe unazani nani atassonga kwenye robo fainali Chelsea au Barcelona...??

No comments:

Post a Comment

Pages