Mshambuliaji huyoo allilazimishwa kutoka katika mchezo wa Derportivo La Coruna siku ya Jumapili baada ya kukutana na beki wa timu hiyo na kuweza kumkata au kumpasua katika upande wake wa pembeni mwa jicho
Ronaldo aliweza kuchukuliwa na Madaktari huku damu ikiwa inamiminikia kwenye jezi yake zikiwa zinatokea pembeni mwa jicho laje mreno huyo alionekana hana furaha kabisa.
Mbali na kuumia kwake mshambuliaji huyo alionekana bado hana uwezo wa kupambana jicho zima la Ronaldo lilikuwa likimiminika damu na kukiwa na alama za mikwaluzo akiwa amewekwa bandage.
lakini Ronaldo alionekana ni mtu aliekata tamaa japo alikuwa akicheza, kwenye mitandao dunia nzima ilikuwa ikionesha jinsi nyota huyo jinsi alivokuwa kipindi alivopata majeruhi.
Maisha ya Zinedine kwenye klabu bado hayapo sawa baada ya majanga waliopata Madrid nyuma ambao wameweza kutolewa kwenye kombe la Copa Del Rey na Leganes baada ya kuwachapa nyumbani kwao Bernabeu.
No comments:
Post a Comment