LICHA YA KUPEWA ADHABU WANAWAKE WENGINE WAWILI WATOA TAARIFA KWA KUFANYIWA VITENDO VYA UBAKAJI NA NELLY. - BZONE

LICHA YA KUPEWA ADHABU WANAWAKE WENGINE WAWILI WATOA TAARIFA KWA KUFANYIWA VITENDO VYA UBAKAJI NA NELLY.

Share This
Jina la rapa Nelly linaendelea kuchafuka baada ya wanawake wawili kutoa taarifa za kuzalilishwa na kufanyiwa vitendo vya ubakaji na staa huyu wa rapa kwa nyakati tofauti.October 7: Nelly was arrested in a Walmart parking lot in Seattle, Washington, where his tour bus was parked and where Greene claims he raped her moments before she called police Mmoja anasema Nelly alilazimisha mkono wake ndani ya gauni lake kwenye party flani June mwaka 2016, wapili anasema Nelly alijichua mbele yake kwenye chumba cha kubadilisha nguo december 2017Claims: Once Nelly gets women alone, he will begin masturbating 'with the expectation that it would entitle him to sexual gratification and women  could not resist his penis'
Wanawake wote hawa ni wazazi wenye watoto na familia zao na walitaka kupiga picha na staa huyu ndio maana walienda backstage kuonana naye,Nelly's long term girlfriend: Shantel Jackson, who is being sued by her ex-boyfriend Floyd Mayweather over claims she stole from him when they were dating, is standing by him
Shantel Jackson Mpenzi wa Nelly anasema ni kweli Mpenzi wake anazingua ila kesi zote sio za kweli sababu huwa anakuwa na Nelly Backstage na anajua yote yanayotokea.
Kesi hizi mbili zimekuja baada ya Monique Greene kusema Nelly alijichua mbele yake na kutaka kuweka uume wake kwenye mdomo wake.

No comments:

Post a Comment

Pages