'SASA NISHAANZA KUJUA KWANINI MAKOCHA WALIOPITA WALIKUWA WANAFUKUZWA NA CHELSEA' CONTE - BZONE

'SASA NISHAANZA KUJUA KWANINI MAKOCHA WALIOPITA WALIKUWA WANAFUKUZWA NA CHELSEA' CONTE

Share This
Angalia jinsi takwimu zinavosema  ndani ya miaka 14 makocha kumi walifukuzwa. It has been another week of discord between the Chelsea boss and the Stamford Bridge board

Antonio Conte amesema ameshaanza kuelewa kwanini makocha wa Chelsea waliopita huwa wanajikuta wapo ndani kwa kukamatwa na siasa za Klabu.
Mwanzoni mwa Mwezi huu kocha wa chelsea alikuwa akitajwa kwamba anaweza akaondoka mwishoni mwa msimu na amekuwa na wiki ya ugomvi kati yake na bodi, pamoja na ripoti ameweza kuzuia kutoongea moja kwa moja na kiongozi wa maswala ya uhamisho Marina Granovskaia.Antonio Conte says he's beginning to understand what it was like for previous Chelsea bosses

Muitaliano huyoo ameongeza mafuta kwenye moto kupitia kwenye nusu fainali ya Carabao alivopoteza dhidi ya Arsenal siku ya Jumatano kwa kutoa pingamizi cha uhamisho.

Mbali na hayo yote lakini watu wengi wanadai kwamba kunamsuguano kati ya Conte na wachezaji wake hasa kwenye uhamuzi wake wa kupanga kikosi.

'ukiangalia kwenye takwimu unaweza ukaona ndani ya miaka 14 makocha 10 walifukuzwa kwenye klabu hii,' alisema Conte, ambae anaenda kukutana na Newcastle siku  ya Jumamosi kwenye kombe la FA.
David Luiz tries to get the ball back in training on Friday ahead of FA cup tie against Newcastle
'Lakini kwa mda huo huo ukiwa na uhakika na kazi yako na pale unapofanya kila kitu kuboresha klabu na kufanya kazi hivi navofanya na wachezaji, nimerelax sana tena sana na sina haina yoyote ya wasi wasi.
Naweza nikasema kwamba nitaendelea kufanya kazi kwa juhudi zangu zote kwenye klabu kwajili ya wachezaji na mashabiki.'
Sportsmail can reveal that friction has developed between Chelsea players and Conte
'lakini nimeona historia ya klabu hii imekuwa ni vile vile kwa makocha wengine na sitaraajii kuona tofauti yoyote kati yao na mimi. Wengine waliweza kuvumilia na kupigana na hali kama hii kama nikikumbuka mwanzo wa msimu nilisema huuu ndio utakuwa msimu mgumu sana kwangu mimi.

No comments:

Post a Comment

Pages