
Mshambuliaji wa Arsenal anatagemewa kufanya uhamisho wa kwenda Dortmund. Lakini imetokea kuwa na hatari ya kuvunjika dili iloo la kwenda kwenye klabu ya Ujerumani kwa kutokubaliana na washika mitutu kwenye ada ya Pauni miliomi 65 ili kuweza kumnyakua mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang kwenda upande mwengine.

Chelsea wao wenyewe bado vile vile wanaendelea na mazungumzo na mshambuliaji kutokea Roma Edin Dzeko na Giroud akiwa kati ya chaguo lao pia huku Conte akiwa hanaendelea kutafuta mshambuliaji wenye nguvu ambae atakae kuja kushindana na Alvaro Morataa.
No comments:
Post a Comment