KWANNI LEBRON JAMES HUTUNGIWA MISTARI NA DRAKE? - BZONE

KWANNI LEBRON JAMES HUTUNGIWA MISTARI NA DRAKE?

Share This
Rapa kutoka Canada Drake, ambaye ni rafiki mzuri wa LeBron James na shabiki mkubwa wa igi ya kikapu ya NBA amempongeza Lebron kwa kuwa mcheziji mwenye umri mdogo zaidi kutimiza Point 30,000 katika maisha yake ya kucheza mpira wa kikapu kwenye NBA.
Rekodi ya Lebron ni >Amekuwa mcheziji mdogo zaidi kutimiza Point 30,000 katika ligi ya NBA.
Drake anasema ‘Lebron ni miongoni mwa watu wenye ushawishi mkubwa anaowajua, anaenda tena studio kuandika wimbo utakao elezea mafanikio ya Lebron James’

No comments:

Post a Comment

Pages