DANIEL STURRIDGE ANAJIANDAA KUFANYA UHAMISHO WA KWENDA INTER MILAN, - BZONE

DANIEL STURRIDGE ANAJIANDAA KUFANYA UHAMISHO WA KWENDA INTER MILAN,

Share This
Liverpool wameweza kupunguza bei yao waliokuwa wanaitaka kwajili ya kumuuza Daniel Sturridge kabla ya kumruhusu kwenda Inter Milan.

Majogoo hao walikuwa wanataka £5milioni ikiwa kama ada ya mkopo kwa mshambuliaji huyo wa Uingereza kwa malipo yaliokamilika kwa mshahara £150,000 kwa wiki.

Liverpool in the 2017/18 Premier League

 • Mohamed SalahLiverpool
  Mohamed Salah
  App.
  23
  Goals
  18
  Roberto FirminoLiverpool
  Roberto Firmino
  2310
  Philippe CoutinhoLiverpool
  Philippe Coutinho
  147
  Sadio ManéLiverpool
  Sadio Mané
  166
  Alex Oxlade-ChamberlainLiverpool
  Alex Oxlade-Chamberlain
  243
  Daniel SturridgeLiverpool
  Daniel Sturridge
  92
  Trent Alexander-ArnoldLiverpool
  Trent Alexander-Arnold
  81
  Ragnar KlavanLiverpool
  Ragnar Klavan
  151
  Jordan HendersonLiverpool
  Jordan Henderson
  161
  Dejan LovrenLiverpool
  Dejan Lovren
  18

Lakini mbali na kulirudisha jina lake wababe hao wa Merseysiders walikuwa kwenye hali ya ugumu kwa mtu yeyote akiwa kwenye hatua kama hii.

Ukiachilia mbali kuwa ni klabu kubwa Ulaya waliweka utayari wa mshambuliaji mwenye miaka 28 anaweza akapatikana ukiachilia mbali na kusumbuliwa na majeruhi na kukosa michezo kadhaa lakini vilabu bado vinamtolea macho.

Mwishoni kwasasa Liverpool wanataka kumtoa kwa mkopo na wanataka ada ya mkopo £1.5m na Sturridge na sasa anajiandaa kwenda kujiunga na wababe wa wa Serie A Inter.
Mda huo huo Liver  wanajianda kuweka mezani £90m kwajili ya kumnyakua Thomas Lemar.

No comments:

Post a Comment

Pages