NANI ALIARIBUU KWENYE KUVAA USIKU MZIMA WA GRAMMY 2018 - BZONE

NANI ALIARIBUU KWENYE KUVAA USIKU MZIMA WA GRAMMY 2018

Share This
Ilikuwa ni moja ya usiku kwenye kiwanda cha muziki duniani.

Nyota wengi walijitokeza kwenye tuzo hizo za Grammy 2018 na walipendeza hasa pale kwenye Red carpet  lakini cha kusikitisha sio kila mtu alipendezesha tuzo hizo.

Jaden Smith ni moja ya watu ambao inasemekana aliaribu kwenye tuzo hizo.

Mtoto huyo wa muigizaji Will smith alijitokeza akiwa amevalia jeans iliokuwa ya kitamaduni na akipigilia jacket jeusi.

Nyota huyo aliweza kutokea kwenye filamu ya The Karate Kid alipigilia cheni nzito shingoni, Coco Austin yeye alionekana kama hakuvaa kitu kabisa huku akivaa gauni refu lenye mpasuo wa michirizi kutokea juu mpaka chini. muigizaji huyoo na model alikuja na mme wake Ice T na waliweza kuonekana kwenye Red carpet.

Nimekuwekea baadhi ya picha ya mastaaa walionekana usiku wa jana kwenye Red Carpet hebu niambie walioharibu na waliokichafua.

No comments:

Post a Comment

Pages