Baada ya Tunda kumtukana Aunty Ezekiel, Mose Iyobo naye amenunua ugomvi wa mpenzi wake baada ya Tunda kumuita Ki BenTen,
Mose ameandika “Ujinga ni kubishana na mtu ambae kashafanya kila kitu ambacho wewe unafanya leo kama marudio unachotakiwa useme tu sina hiyo hela nitalipa siku flani na sio kuanza kuongea ushamba mke wangu awezi kutafuta kiki kwako ana mtoto maarufu kushinda wewe./kingine ben ten ni baba yako aliekuzaa akashindwa kukupeleka shule umeishia kufumuliwa free unakosa laki yakulipa pombe”
Baada ya maneno haya, Tunda aliongeza ujumbe huu >>“Afu na wewe Mose kweli unakaa chini unaandika upuuzi kama huo kama kweli ni wewe umeandika basi huna uso wa haya!….inawezekana pia Ant ndo umejiandikilisha
No comments:
Post a Comment