
Mchezaji huyo wa Leceister City na winga kutokea taifa la Algeria amewekwa orodha ya wachezaji waliopo kwenye uhamisho baada ya City kutoa ofa yao kwa winga huyo.
City wanamtaka kwa mara ya pili Mahrez ambae hana mkataba wa miaka miwili na nusu. Winga mwenye miaka 26 analazimisha kuondoka na siku ya jana hakufanikiwa kufanya mazoezi akiwa analeta ushawishi wa kuondoka.
Mahrez anaweza akakataa kucheza dhidi ya Everton leo usiku ili kuweza kuradhimisha aondoke huku masaa yakiwa yanasogea mdogo mdogo.

No comments:
Post a Comment