MAPINDUZI YAMESHAANZA SASA ARSENAL NA YATATOKEA PAMOJA AU BILA ARSENE WENGER - BZONE

MAPINDUZI YAMESHAANZA SASA ARSENAL NA YATATOKEA PAMOJA AU BILA ARSENE WENGER

Share This
Kazi imeshaanza Arsenal.

Na Arsne Wenger anajua kwamba anatakiwa kuongoza mapinduzi hayoo na kutoa hata kazi ndogo ya nguvu yake kama anataka kuona mwaka wa mwisho kwenye mkataba wake.

Kocha Wenger  kwasasa hana miaka 68 amekuwa mfalme anaponea kwenye tundu la sindano kwa kipindi cha miaka 22 kwenye klabu lakini mwezi huu amejipanga kwa kufanya mabadiliko haraka haraka.

Lakini nyuma ya camera washika mitutu wamebadilika kwenye kila idala kwa maskauti na kila sehemu mpaka kwenye sehemu yao ya mazoezi.

Chief  executive Ivan Gazid kwasasa hana ofisi yake pake yake pale London  kwenye makao makuu ya Colney, mkuu wa maswala ya uhamisho anafanya kazi nzuri sana Sven Mislintat na aliekuwa mkurugenzi wa Barcelona Raul Sanlleh ameanza kazi mapema ya Alhamisi.

Baaadhi ya kiwango cha timu kwenye uwanja imekuwa ni maumivu yaliyozoeleka mbaya zaidi pole kwa kile kipigo walichopata usiku wa jumanne dhidi ya swansea city.

Lakini klabu  yenyewe ishazoea mazingira yake mapya na ikijaribu kuwashawishi mashabiki wake.

Rekodi ya usajili kwa ada ya pauni milioni 56 kwajili ya Pierre Emerick Aubameyang usajili wa Henrikh Mkhitaryan na kumshawishi Mesut Ozil kuweza kusaini mkataba mpya imeonesha klabu kwamba inataka nini kwa sasa.

Arsenal wanaweza wakawa na msimu mzuri kama watakapo shinda kombe la Carabao na Europa lakini wamenasa kwenye nafasi ya sita kwenye ligi kuu uingereza na kwa timu ambayo inaitakijika kuhimarishwa kila idala,

Tuliwatazama jana na Swansea  huku kikosi kikiwa na makosa madogo madogo kwenye maeneo tofauti.

Hakuna kiunngo wa kulazimisha, beki makini wa kufa na kupona na  Lacazette anatakiwaa kujifua yeye kama yeye binafsi baada ya uasjili wa pauni miloni 52 kwenye dirisha kubwa la usajili kuvunja rekodi.

Huu ndio mda wenu Arsenal msitufanye tukaanza kuwafikilia vibaya kama siku zote maana watu wote wanajua klabu inabadilika kutoka juu kwenda chini ns pis kumbukeni Wenger mda wake unakimbia na nguvu zinakaribia kumuishia. 

No comments:

Post a Comment

Pages