RIYAD MAHREZ NI KICHAA , AENDELEA NA LECEISTER CITY. - BZONE

RIYAD MAHREZ NI KICHAA , AENDELEA NA LECEISTER CITY.

Share This
Riyad Mahrez hajaonekana mpaka sasa kwenye mazoezi ya Leceister.

Klabu mpaka sasa hawajui yupo wapi huku klabu ikitaka afanyiwe vipimo na FA kama anatumia madawa yoyote.

Itakuwa ni siku ya nne tangia apotee kusipo julikana Mahrez amekuwa kutonekana na mchezaji mwenzake yoyoteb huku ikileta picha ya ukichaa kwake kwenye eneo la mazoezi.

Mualgeria huyoo anafaini ya wiki mbili kwenye mshara wake ambayo ni kama pauni milioni 200,000 na imesemwa na rafiki yake kwamba kinacho msumbua Mahrez ni huzuni wa kutokwenda Manchester City kwenye siku ya mwisho kwenye dirisha la usajili.

Mshambuliaji huyo amekosa mazoezi tangia siku ya Jumatano kuelekea mchezo wa Everton na hakutoa taarifa alipoelekea.

Imewaacha wafanyakazi, wachezaji na kocha Claude Puel kwenye giza nene na kusababisha kualibu mipango kwajili ya mchezo wao kwenye dimba la Goodison  ambapo walipoteza mchezo huo kwa magoli 2-1 bila Mahrez.

Mbali na hiyo wachezaji wenzake wamehuzunishwa sana na tabia hanayo ionesha Mahrez wiki hii, lakini wachezaji wa mbwa mwitu wapo teyari na wanaelewa na wapo teyari kumkalibisha Mahrez tena kwenye mapambano yao. 

Ofa ya mwisho kwajili ya Mahrez ilikuwa ikiaminika kwamba ina thamani kati ya pauni milioni 65 lakini Leceister walisisitiza Mahrez thamani yake ni kati ya pauni milioni 80.

Ni dirisha la pili lisilokuwa na matumaini kwa Mahrez kuweza kuondoka.

No comments:

Post a Comment

Pages