Sanchez alionekana akiwa kwenye mazoezi ya Arsenal siku ya Ijumaa asubuhi awezi akaweka sahihi kwa united ndani ya mda huu kwasababu atakuwepo Turf Moor ambapo Henrikh Mkhitaryan ambae anategemewa kwenda upande wa pili.
Mourinho amethibitisha kuwa Mkhitaryan anaweza akaachwa tena kwenye kikosi cha United na kutomashtaka kwamba amerelax sana kuhusu hali ya Sanchez.
Kocha huyo wa United aliendelea kusisitiza amechukua hatua nyuma ya kunasqa sahihi ya mchezaji tokea Chile ambapo United wanangalia mbele ni jinsi gani ya kuitoa Manchester City kwenye kilele huku mahasimu wao hao wanakutana na Newcastle wakiwa nyumbani siku ya Jumamosi jioni.
'Hakuna kitu kipya.,' alisema Mourinho pale alipoulizwa swali juu ya Sanchez kujiunga na United.
'naona wazi kila mtu anajua tuko pale hasa hasa pale kocha wa Arsenal anapoongea wazi wazi kama teyari kashafanya, hakuna point yoyote kwa kujaribu kuficha au kukataa lakini bado halijakamilika kabisa dili.'
No comments:
Post a Comment